Jamaa mmoja na mpenzi wake walikuwa chumbani wakivunja amri ya sita usiku taa ikiwa inawaka,kumbe kuna mshkaji alikuwa anakula chabo kwenye tundu la funguo...baada ya jamaa na mpenzi wake kustukia mchezo huo.....akachukua sindano na kuchomeka kwenye tundu la funguo....mara ghafla ikasikika sauti ya yule mla chabo kwa hasira akilalamika..Dah! kudadadeki, jamaa kazima taa asijue kumbe kashakuwa kipofu.