Kapendeza kweli na hilo vali, angenisikia ningemwambia avae kila siku
Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport.
Huyu mama kafanana na babake mpaka basi...
Amma kweli waislamu husababisha kina mama kustaarabika kimavazi.
Leo Anne kavaa vizuri kama anakwenda hija!
Fanya mchezo na wafadhili wewe!
Km humjui unaweza kudhani ni mke wa SHEIKH JONGO!
Ha ha ha ha ha!
Despite makengeza yake ya kikafiri lakin mashallah kapendeza
Jongo akimuona lazima atoe posa!
teh teh teh teh
ni kazi
Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport.
wewe binti ushaanza udini wako. Inamaana hakuna waislamu wenye kengeza?
wewe binti ushaanza udini wako. Inamaana hakuna waislamu wenye kengeza?
kwani neno kafiri linamaanisha udini?