Muonekano mzuri wa Jiji la Dar es Salaam

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,745
club bilicanas ilikuwa paleeeee
e706024c1a4cc77f9576044b1bc71a87.jpg
 
Kulikuwa na haraka yoyote kuliangusha?,panaweza kukaa hivyo muda mrefu bila kujengwa..
 
Kulikuwa na haraka yoyote kuliangusha?,panaweza kukaa hivyo muda mrefu bila kujengwa..
haina shida kama patakaa mda mrefu bila kujengwa.

watapatumia kuwa chaka au hifadhi ya machokoraa, machangudoa,wezi,omba omba na vichaa wanao zurula hovyo mjini.
 
Back
Top Bottom