Tabu yote ya nini hadi kufanya surgery sijui, hivi binadamu kwa nini hatujikubali? na kumshukuru Mungu wa mbinguni kwa alivyotuumba? Maana yeye anapendezwa na jinsi tulivyo, kwa hiyo tunapojibadilisha maana tunaukosoa uumbaji wake, kweli Mungu atatuadhibu sana.
Tujikubali jinsi tulivyo kwa kumpendeza Mungu na sio kumpendeza binadamu.