Muonekano mpya wa halima mdee wazua Utata

Muonekano mpya wa halima mdee wazua Utata

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Binafsi namuona katolezea poa sana, sasa sijui mnaotokwa mapovu mlitaka avae dela au?
fc7c87976a00be7007423ea464176ce4.jpg
 
Ni utata kweli... Maana sielewi kama ni mwanamke au mwanaume..
 
Kumbe anachuchu kwenzi nduguye mchongoma daa nengpata maji angeita idumbi! idumbi! idumbi! Daa check vipaja
 
Mleta post, niunganishe naye Aiseeeh, yuko sexy sana!!
Warumi, nisaidie Aiseee!!

Hivi wewe Warumi ndiye Roma Mkatoliki (Roma Msaliti ) maana Warumi Kwa kimatui ni Romans!!

Haka kaujumbe, mpelekee !!

Hi honey!
 
Back
Top Bottom