Muonekano huongeza uwezekano

Agree, na ukijijua umekamilika vizuri na kila kitu kimekaa vizuri (kwa wakina dada, nails done, hair did..)
Hata mood inakuwa nzuri.
 

Nimekupata vyema mkuu
 
Jamani kwa nyie Maskini ni sawa tu mfanye ivo!! ila sisi Matajiri kwakweli ni shida!! ukivaa vizuri tu watu haoooo!! wanakunyenyekea saaana! Makanisani humo! lkn nikivaa kicheck Bob na kanda mbili raha sana watu hawanijui kabisaa mpaka foleni napiga!

Misibani/vikaoni nakaa kwa uhuru sana!! navotaka hakuna ile kuniheshimu saaaana! ila wachache wanastukia lkn pia wanadhania ni mdogo wangu tu huyo! au wana sema umefafanana sana na Predejsheee! smaki.

Nawambia tu Duniani wawili wawili! basiiii....ila wakinijua basi nakwambia LIFT hizo ntazopewa njiani humo si za Dunia hii!
 
Mhhhh[emoji849]
 
Fanya yote haya lakini muonekano nadhifu haukamiliki kama hauli chakula vizuri na kunawiri mwili pia kufanya mazoezi ili yakuweke imara na kuwa katika mood nzuri muda wote.
 
Yani mimi ilikuwa ni stress tu, nilikuwa na stress kipindi hiko hatari...Nikakata nywele na sikuwa nazichana...Kwa kifupi niligeuka chokoraa kimuonekano!
Umefanya nkumbuke kipindi flan hivi aisee yaan stress kitu mbaya sana nlikuwa sijal hata nkawa npo kama sipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…