Hutokea bila kutegemea... saa ingine papara inakubidi tu !!Umeongea ukweli mtupu...Nishawahi kuwa mhanga wa kudhaniwa kivingine kwakuwa nilivaa ovyoovyo tofauti na watu wengine mahala nilipokuwa.
Pole sana. Nilikuona ulivyokuwa huna amaniUmeongea ukweli mtupu...Nishawahi kuwa mhanga wa kudhaniwa kivingine kwakuwa nilivaa ovyoovyo tofauti na watu wengine mahala nilipokuwa.
MMMhhhhh!Pole sana. Nilikuona ulivyokuwa huna amani
Yani mimi ilikuwa ni stress tu, nilikuwa na stress kipindi hiko hatari...Nikakata nywele na sikuwa nazichana...Kwa kifupi niligeuka chokoraa kimuonekano!Hutokea bila kutegemea... saa ingine papara inakubidi tu !!
Kwa nini umelenga muonekano na kukopa na uzinzi?MUONEKANO
Muonekano wako ni muhimu sana katika haya maisha yetu ya sasa. Kuvaa kwako ni muhimu sana na kunaongeza thamani ya utu wako. Kuna watu wanavaa tu ili mradi wamevaa lakini kuvaa vizuri kunakujengea mambo mengi sana kama kijiamini, kuheshimiwa na kuaminiwa. Kwa sababu mtu anakuamini kwa kiasi fulani kutokana na ulivyovaa na kupendeza hivyo basi rafiki yangu jitahidi kuvaa na kupendeza zaidi ili baadhi ya mambo yako yakae sawia.
UWEZEKANO
Muonekano kuongeza uwezekano ipo hivi:- Kutokana na kuvaa kwako na kupendeza vizuri kunakupa uwezekano wa jambo fulani katika kulifanya. Mfano unaenda kukuopa pesa, mtu cha kwanza ataangalia muonekano wako na ndipo atajua una uwezo wa kulipa au la. Hata ukikutana na mwanamke njiani tu na ukataka kumtongoza / ukamtongoza cha kwanza ataangalia muonekano wako kwanza jinsi ulivyovaa na kutokezea [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji117] Kumbuka unapotoka nje au unatoka na rafiki zako DRESS TO KILL aaaah vaa pendeza utajiamini na kujikubaliiiii [emoji94]
True Story[emoji118]
tafadhali usirudie tena eeenh!!!!!Yani mimi ilikuwa ni stress tu, nilikuwa na stress kipindi hiko hatari...Nikakata nywele na sikuwa nazichana...Kwa kifupi niligeuka chokoraa kimuonekano!
Kaka sasa katika hilo ndyo maana hata wez wana vaa vizuri unafikir kwann coz mwonekano unajenga fikra za mtu kumuamini jinsi alivyoMatapeli na watu wengi waovu wanapenda kuvaa vizur siku hizi usiamin mtu kwa kuangalia mavazi tu
Mkuu huo ni mtazamoo tuuu lakini hata katika kazi pale unapo taka kuomba kazi au kufanyiwa Interview cha kwanza ni jinsi ulivyo vaa (mwonekano ) wako unakuongezea pointKwa nini umelenga muonekano na kukopa na uzinzi?
Bila shaka sasa unapigilia pamba mubashara[emoji13]Umeongea ukweli mtupu...Nishawahi kuwa mhanga wa kudhaniwa kivingine kwakuwa nilivaa ovyoovyo tofauti na watu wengine mahala nilipokuwa.
Hapana shaka kabisaBila shaka sasa unapigilia pamba mubashara[emoji13]
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hapana shaka kabisa