MUNGU WAPE MOYO WA UVUMILIVU WATU WA MABONDENI

Urio kimiroI

Senior Member
Jan 2, 2016
146
74
leo ndiyo tar 5 ambapo watu waliyojenga mabondeni watavunjiwa rasmi

pamoja nikuwa ni sheria ila kibinadamu naumia sana naombeni tuwaombee wote
 
leo ndiyo tar 5 ambapo watu waliyojenga mabondeni watavunjiwa rasmi

pamoja nikuwa ni sheria ila kibinadamu naumia sana naombeni tuwaombee wote
Mungu gani huyo anayeruhusu watu KUVUNJA SHERIA,KUJENGA KANDO YA VYANNZO VYA MAJI,KUJENGA KWENYE MAENEO YA WAZI ILI WATOTO WAKOSWE PA KUCHEZEA NA KUFANYA MIKUTANO.HALAFU NCHI NZIMA TUATHIRIKE KWA MAFURIKO NA UKAME???????????????????????????
 
Back
Top Bottom