MUNGU si mwanadamu wala hafanani na chochote kile, hapimiki wala hana kikomo

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,743
Jinsi ulimwengu ulivyoanza hakuna ajuaye, imebaki kuwa ni SIRI YA MUNGU

Kama kuna mbingu au hakuna, hakuna ajuaye, imebaki kuwa ni SIRI YA MUNGU

Jinsi jinsia hizi mbili zilivyopatikana yaani mume na mke hakuna ajuaye
imebaki kuwa ni SIRI YA MUNGU

Km shetani yupo au hayupo hakuna ajuaye (hakuna aliyewahi kumwona)
imebaki kuwa ni SIRI YA MUNGU

Mwanamke anapobeba mimba hakuna binadamu ajuaye kuwa mwanaume huyo alitumia dk ngapi kuiweka mimba hiyo, hii nayo imebaki kuwa ni SIRI YA MUNGU PEKE YAKE,
 
Back
Top Bottom