Mungu saidia Upinzani usife nchi hii

Pamoja na maisha ya bata na mvinyo ila bado Malaika walimpinga Baba wa Mbinguni na wanafanya hivyo hadi leo hii.

Upinzani hauwezi kufa, watakufa watu ila upinzani utabaki milele maana ile ni spirit au fikra za kimabadiliko zilizo ndani mwao.
 
Hivi zuio la mikutano ya siasa na kuwanunua wanaopigiwa kura ili wazo limewaletea tija gani ccm. Maana wamefanya siasa wenyewe 5 yrs hawana mapya yasiyozoeleka kwa wananchi huku watz wakiwa na hamu kubwa Sana ya kuyasikia toka upinzani.
ajabu kweli muda unadhani unautokomeza kumbe umeuhimarisha....ebu tazama sasa CUF na NCCR kama vimetoweka baada kuingia wasipopajua
 
Mungu ajalie upinzani ufufuke,usife kabisa kama ulivyokufa sasa,wawe wapinzani kwelikweli waache maigizo.
 
Mungu ajalie upinzani ufufuke,usife kabisa kama ulivyokufa sasa,wawe wapinzani kwelikweli waache maigizo.
mi nadhani wangekufa kama mzee asingewabanawabana yeye angepiga kazi halafu angewaacha wao waongeeongee mwisho wa siku uchaguzi wasingekuwa na jipya kabisa

sasa ebu fikiri kwa hila na mbinu unawaondoa kabisa wasiwepo uchaguzi huu wasirudi hata mmoja hiyo 2025 itakuwaje

Unajua mapinduzi ya njia ya amani yakipigwa vita huwa yanafungua mlango kwa mapinduzi yasio na amani

CCM wasiingie mtegoni
 
Back
Top Bottom