Watoto wangu wanahangaika, Mungu nipe uvumilivu, maisha yangu yapo mashakani Mungu nipe uvumilivu, walionizalisha wamenikimbia ee baba nipe uvumilivu
Baba, baba yesu nipe uvumilivu, bwana, bwana Mungu nipe uvumilivu,
Mungu awape uvumilivu kwa kila jambo mnalopitia maishani mwenu, Mungu akubarikini mtokapo na muingiapo, Amen