Mungu ni mkubwa

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
6,132
Reaction score
10,516
Unaumwa uchungu unaambiwa utazaa kesho, lakini siku inafika na uchungu unakatika. Unaambiwa ufanye mazoezi, bado kimya. Kesho kutwa unarudishwa nyumbani, ukifika uchungu unaanza tena. Unarudi hospitali unaambiwa njia zimefunga, unahitaji upasuaji wa haraka.

Unajifungua mwanao kwa mateso makubwa, kisha unamfanyia tahara na maulid, halafu mtoto anakuwa na tabia ya upinde kama huyu! Mungu ni mkubwa kweli!
 
Toa neno pia kwa wale wanawake wanao OA wanawake wenzao.

Sitetei Ushoga.
Ila wengi wanaokuwa hivyo wamezaliwa hivyo.
Hormonal imbalance na mambo ya Genetic.
Kama unavyoona Mbilikimo.

Sipend jinsi mtu unajijua hauko sawa alaf unajianika mbele ya Umma kama hivyo.
Ni ujinga.
Kama hauko sawa. Bas kaa tulia na ishi maisha yako.
 
Mungu ameingiaje kwenye hii story yako hapa
 
Sasa hapo ukubwa wake uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…