The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,099 Reaction score 13,707 Nov 3, 2025 #1 Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,149 Reaction score 4,300 Nov 3, 2025 #2 Dah inaumiza sana kwanini sisi tu
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,401 Reaction score 100,592 Nov 3, 2025 #3 Unaua vijana wanaotafuta kesho yao? Na sasa unataka Suluhu? Mtakufa kifo kibaya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,352 Reaction score 196,020 Nov 3, 2025 #4 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 7,671 Reaction score 17,799 Nov 5, 2025 #5 Ni aheri mwanamke asingelizaliwa. Kuzaliwa kwake imekuwa ni majonzi ya wanadamu wengi.