Wazee tunaona mbalihata Jenerali alisema ...
I have never liked this mwambao bitchSikumkubali "from the day go!"
Ni demonI have never liked this mwambao bitch
Kifo ni kifo tuNilisimamia kauli yangu kwamba "usimtukane mamba kabla ya kuvuka mto"
View attachment 3354270
Na baadaye kuna wananchi waliandika kila aina ya mada sehemu tofauti za kushangilia kuamukiwa kwa ugomvi sijui ulikuwa wa nani na nani?.
Lakini nafsi zilipaswa kujionya kutoshangilia kwa namna yoyote na hata Jenerali alisema ...
Jenerali Ulimwengu apinga kutumia siku 100 kumtathimini Rais
Jenerali ulimwengu ambaye ni mwanahabari nguri amepinga vikali hatua ya kumpa Rais Samia Suluhu siku 100 za kumjadili. Amesema kwanza hatupaswi kutumia njia hiyo sababu ni njia ambayo wamarekani ndiyo wanaitumia kwa viongozi wao iweje na sisi tuige wakati hatuya simamii malengo yetu. Pia...www.jamiiforums.com
Naangalia kwa makini yanayoendelea nchini kwetu na je waliokuwa wanashangilia kwa kuchinja ma kujimwagia pombe bar wanasemaje?
Usishangilie kabla hujafika mwisho wa safari.
CCM wamegawa ajira kwa kila mtu 😂Ccm China bonyoo
"Kulivyo juu ndo kulivyo chini" ✅✅Alianza vizuri kosa lake ni kubadili gia angani.
Washauri wake ndio anguko lake hata marehemu tulimuonya hakusikia Kiko wapi,mashabiki wa mpira ndio wanaona mpira zaidi kuliko wachezaji.
Yetu macho kulivyo juu ndivyo kulivyo chini