Mungu ibariki Tanzania

Man City chaliiiiii....
Wamegongwa 2 O' Clock
 
Lisemwalo lipo,
Hii hali zamani nilikuwa naichukulia poa,
Ukweli utajulikana tu soon.
 
juzi TRA hapa kitaa walimfungia mlango wa biashara mama mmoja ili akakate leseni..
Huyu mama anauzaga soda kreti mojamoja na vitunguu na nyanya kidogo, na viberiti..
Mama kakopa alipotimiza leo kaenda kuwapelekea hizo hela apewe leseni..
Walipomfungulia zile soda kwenye kreti ni vigae tu ndio vimebaki maana juzi hawakumpa nafasi ya kuzima kifriji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…