Huyo mgonjwa alitumia akili ipi kuamini maneno ya kichaa!?..Katika kusaka Tonge Mkoa Mwingine Akapita kichaa Akamwangalia Mgonjwa flani ambaye alikua kadhofika sana na Akamwambia kachume mti flani unywe kweli jamaa akatumia Akapona.
Vi wondeerrKuna kichaa huku mtaani kwetu hapendi watu weupe,watu weusi tiii ndo marafiki zake.Akikuona mweusi anakufata mpaka kwako na hataki kutoka mpaka umfukuze na mawe,ila weupe anawapiga vibao kweli
Kuna kitu nilikitaka sana, nilifunga na kuomba, nikamuimba Mungu aniinyeshe sign kama amesikia maombi yangu. Siku moja kwenye basi nilikuangalia na mana was kama 65 hivi, akamiambia Mungu amesikia maombi yako lakini usiwe mvivu wa kusali.Wengine ni malaika wanakuja kwa umbo la wanadamu, ndo maana wakasema msisahau kuwa fadhiri wageni maana wengne wamekaribisha malaika pasipo kujua.
ndio uwa inatokea visa vya aina yko ni vingi vimetokea na watu uamini kuwa kweli mungu anamshirika.Kuna kitu nilikitaka sana, nilifunga na kuomba, nikamuimba Mungu aniinyeshe sign kama amesikia maombi yangu. Siku moja kwenye basi nilikuangalia na mana was kama 65 hivi, akamiambia Mungu amesikia maombi yako lakini usiwe mvivu wa kusali.
Ninaamini Yule alikuwa malaika
Nilitaka kuleply lkn nmesahau soma chini hicho kisa mkuu mungu ni wa ajabu .Kuna kitu nilikitaka sana, nilifunga na kuomba, nikamuimba Mungu aniinyeshe sign kama amesikia maombi yangu. Siku moja kwenye basi nilikuangalia na mana was kama 65 hivi, akamiambia Mungu amesikia maombi yako lakini usiwe mvivu wa kusali.
Ninaamini Yule alikuwa malaika