Mungu Fundi... Baba mtaalam...

Naomba tujuzane umuhimu wa shapu ya mwanamke, Tako na hips ktk mambo ya kitandani.
 
Ametukuka mbora wa waumbaji
 
Mkuu hawa wameumbwa tofauti waweza kuta huyu sauti kama ngombe lakini beki tatu sauti kama ya wema hapo ndipo tunaponasa
 
mwaka wa 11 huu mjengo wangu umeishia kwenye msingi..... si bure....
 
Mkuu umeongea point Sana , yaan ukiamua kuoa unaoa tu, hata kama ukioa mzur aje ukishalala naye mara mbili mara tatu unamuona uso wa mbuzi, yaan hii ni given Kwa wanaume, unaweza shangaaa unachepuka na binti mmoja mbovu kinyama kisa umedata na mguu tu au tako af cha kushangaza umemhonga keshi ndefu na home umeacha kisu kikali hatar....

Ndo mana tunashauriwa kwenye kuoa focus tabia, Sura na umbo ziwe second option, in the short run Sura na umbo zinamata, maana tamaa ndo inadrive mambo, but in the long run Tabia ndo nguzo pekee hushikilia uhusiano Sura na umbo zinakuwa hazina nguvu tena...na hapa ndo ulipo msingi wa maisha ya ndoa (40 to 50 yrs to go),ndani ya familia ni Tabia Tu inayoweza kuhandle huo mda mkiwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…