Mungu anaweza kufanya chocho katika dunia hii

Mungu anaweza kufanya chocho katika dunia hii

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Mungu anaweza kufanya chochote katika dunia hii
 

Attachments

  • JAPAN-1.jpg
    JAPAN-1.jpg
    98.5 KB · Views: 229
  • JAPAN-2.jpg
    JAPAN-2.jpg
    26 KB · Views: 201
  • JAPAN-3.jpg
    JAPAN-3.jpg
    20.7 KB · Views: 194
  • JAPAN-4.jpg
    JAPAN-4.jpg
    23.4 KB · Views: 179
  • JAPAN-5.jpg
    JAPAN-5.jpg
    99.5 KB · Views: 181
gari nyingi zimekufa kuliko watu ama kweli japan matajiri jamani....
 
ni kawaida kikitokea kitu ambacho wewe binafsi unakiona ni cha ajabu basi lazima umsingizie mungu.
 
Ukweli utabaki kuwa kweli,-Mtu ambaye anaamini kuna Mungu, tutakubaliana kila la kheri na la shari, kama hili ghalika la Japani
kuwa yote ni mipango ya Mungu.

Tatizo linakuja pale kwa wale ambao hawana imani na Mungu, ukiwauliza wanakwambia ni "Nature". Sasa Nature ni kitu gani na maana yake ni nini?

Sasa kwa hili hatumsingizii Mungu bali ni ukweli wenyewe.
 
Matendo ya Mungu yalivyo:

someni maafa yaliyoletwa na Mungu:

1. GHARIKA : Mwanzo sura ya 6 hadi 10
2. SODOMA na GOMORA : Mwanza sura ya 11, 18, 19, 20.

Kanuni anazotumia kuangamiza:

a) Anaangalia kusudi lake.
b) Anatoa taarifa mapema.
c) Anatoa njia ya kuokokea.
d) Anabagua waovu na wema.

Matukio ya sasa ni ishara kwamba ufalme wa MUNGU unakaribia; Luka 21: 11, 31.

Inasikitisha sana kwa upande mmoja, lakini ni faraja kwa upande mwingine.

Hivyo Mungu muumba wa vitu vyote, hawezi kuharibu kazi zake kikatili namna hii.

Habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom