Mafisadi mwaka huu mnakazi kweli mlidhani ufisadi utawafikisha popote mnaona mlivyopata aibu na bado mahakama ya mafisadi inakuja mtanyooka tu.usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..
PAMOJA SANA COMMANDER!Nimefurahishwa na kitendo cha utu aliouonyesha Rais wa JMT cha kuamuru fedha kiasi cha zaidi ya Tsh mil.225 zilizokuwa zimechangishwa na wahisani mbalimbali kwa ajili ya pongezi kwa wabunge na ufunguzi wa bunge LA 11 kupelekwa Hosp ya muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda,kiukweli jambo hili ni zuri na ni jema kwa nchi yetu na ni funzo kwa baadhi ya viongozi wapenda anasa na wasio na mioyo ya huruma kwa wananchi na taifa hili kwa ujumla na umetuonesha na kutudhihirishia uongozi sio anasa Bali ni utu na uwajibikaji kwa waliokupa dhamana.
Mwenyezi mungu akubariki na akuongoze kwa kila ulitendalo
je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif, wameshazeeka hao, jiandaeni kwa uchaguzi wa 2020, piganieni katiba mpya ili kuwe na uwazi. lowasa angeunda serikali ya kirafiki tu zaidi na ufisadi ungeendelea kama kawa. mwacheni JPM afanye kazi, mtieni moyo muombeeni avuke salama...
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..
je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif, wameshazeeka hao, jiandaeni kwa uchaguzi wa 2020, piganieni katiba mpya ili kuwe na uwazi. lowasa angeunda serikali ya kirafiki tu zaidi na ufisadi ungeendelea kama kawa. mwacheni JPM afanye kazi, mtieni moyo muombeeni avuke salama...
Tena Ufisadi ungekuwa mkubwa kuliko ilivyo wahi kuwa... Mafisadi wote ndani na nje ya TZ this time ndio waliokuwa watoa pesa za kampeni kwa Lowasa. Chadema kama vile haikuwepo. Kila kitu kilifanywa na familia na marafiki wa mzee mamvi. Hapo kuna Rais kweli???
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..