Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha

Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha

Joined
Jul 29, 2025
Posts
9
Reaction score
4
Ukweli ni kwamba mwanaume anapotoa shahawa;

1.huko ndiko uliko utajiri wako

2.huko ndiko chemichemi yako hapa duniani
3.ukizitumia vizuri hapa duniani na sehemu sahihi ndio unaona anatokea mtu duniani!


[28] Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”


Kwa mujibu wa biblia ; baraka ni nguvu ya Mungu iletayo mafanikio. Ni uwezo wa kiungu wa kusababisha kufanikiwa sawa sawa na neno la Mungu.

“ Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke,… ” Mwanzo 1:28.

Wanadamu walipoumbwa, Bwana Mungu akawabarikia yaani Bwana Mungu aliweka uwezo wa kufanikiwa sawa sawa na kile alichokitamka “neno“.

Kama Mungu asingembarikia mwanadamu katika eneo la kuzaa, maana alisema “zaeni mkaongezeke” basi ni ukweli kabisa mwanadamu asingeweza kuzaa / kupata watoto. Tunazaa simply, Mungu ameweka nguvu ya kuzaa kama sehemu ya bara
ka tu.

Kwa hiyo kupitia binadamu Mungu anataka tuongezeke duniani na hatuweziiii.. kuongezeka kama mwanaume akipiga punyeto!

Kwa hiyo unaposoma ujumbe huu hiyo nguvu inayo kushawishi kupiga punyeto kuanzia leo itajipiga shoti!💥
Ukisikia kiu, au hamu ya kupiga punyeto jiambie mawazoni mwako kwamba 'LEO, UTAJIPIGA SHOTI'
#tukolive na hii ni habari njema kwa watu wote
 
Back
Top Bottom