Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,925
- 31,850
wale mliowaachisha kazi kwa vyeti hewa,
mmoja wa magreat thinkers kanifanya nilifikirie hili swala kwa mtazamo mwingine,
unamsimamisha mtu ana majukumu ya familia,
sasa unataka afanyaje akaibe?????
kurudi kusoma kuna changamoto kwa watu wazima,
majukumu kibao,watoto,mke, wazazi ,dharula etc sio kama ulivyokuwa mtoto,shule ndio jukuma lako pekee unaenda shule,ukirudi kuna ugali,no responsibilities lol
ingekuwepo sheria mtu akiwa kazini zaidi ya miaka kumi,asipewe redundancy,unless inabidi iwe hivyo kwa manufaa ya wengi,labda ufujaji wa pesa,na mengineyo,
sana sana waajiri wakiona wafanya kazi wao hawana skills fulani,wanaweza ku arrange inhouse training,ambapo ajira zao hazitaathirika.