Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 38,431
- 89,063
Sasa kama unamtegemea kwa kila kitu utaanzaje kumchiti wakati anakuweka mjini? Ukimchiti anakufukuza urudi kwenu, ila yeye anafanya chiting'i apendavyo
Aiseeeh
Unatakiwa uchapwe risasi ya kichwa😅
Unakoelekea utapoteza mvuto hapa JF, leo umepost utumbo sana mtu wangu. No thanksMUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.
Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.
Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.
Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.
Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.
Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.
Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.
Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.
Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.
Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.
Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.
Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.
Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.
Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.
Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.
Acha Baba yenu nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Ngoma ikishalia sana mwisho wake huwa huu.Unakoelekea utapoteza mvuto hapa JF, leo umepost utumbo sana mtu wangu. No thanks
Unakoelekea utapoteza mvuto hapa JF, leo umepost utumbo sana mtu wangu. No thanks
Jidanhanye,tu hapo bdio umeharibu kabisaa na mara nyingi ni mwanzo wa kutengeneza familia za panyaroad🤣MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.
Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.
Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.
Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.
Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.
Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.
Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.
Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.
Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.
Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.
Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.
Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.
Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.
Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.
Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.
Acha Baba yenu nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mwanamke mpaka atongozwe ndo acheat asipo tongozwa atacheat na nan....wew mtibel mbona unajisaulisha hujui mwanamke hana thaman mbele Ya Me......kwanza akicheat ndo talaka iyo hata maandiko yameelekeza hivyooo......
Kwanza wapo wengi kama nyanya sokon .......
Sawa nimekuelewa,
Ila sasa hujaeleza hii njia yako inamalizaje tatizo la kusalitiana, au unamaanisha akisalitiwa mara mbili, na yeye asaliti mara mbili halafu waendelee walipoishia?
Leo ndo umeandika mada bora kuliko zote.MUMEO AKIKU-CHEAT NA WEWE M-CHEAT
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Najua wapo wanaume watanimaindi kwenye hii mada lakini hiyo ndio namna Watibeli tunavyofanya mambo yetu.
Hatuna msamaha kwa mtu anayefanya jambo kwa kudhamiria. Hiyo hatuna.
Kitu cha kwanza niliwaambia binti zangu kuwa hakikisha unajiweza, upo huru, unajitegemea na unaweza kujilisha wewe na watoto na mumeo(ikiwa mumeo ataumwa au itatokea dharura ya kimaisha). Niliwaambia msipende kuhudumiwa, wala kupenda vya bure ili muilinde furaha yenu.
Mwanaume kabla hajakuoa. Mpe misimamo yako. Mwambie mimi nipo tayari kujisalimisha kwako kama mkeo. Na nitakutii na kukusikiliza kwa kila jambo lililokuwa. Kwenye shida na raha tutakuwa wote lakini sio kwenye uovu na uasi.
Mwambie kabisa unamoyo mzuri lakini haimaanishi huwezi kutenda mambo mabaya na yakutisha kwa Watu wasiokuheshimu.
Mwambie siku atakayo-cheat ndio siku hiyohiyo ambayo utaandaa mipango kabambe ya kum-cheat. Mwambie kabisa kuwa hutamsamehe pasipo kumpa adhabu hiyo.
Ili aonje ule utamu alioufanya juu yako.
Mwambie yeye a-cheat kwa bahati mbaya lakini wewe utafanya makusudi. Mwambie yeye a-cheat kwa kujificha na kwa siri lakini wewe utafanya waziwazi bila kificho.
Mwambie kama anahitaji uaminifu wako itampasa naye awe mwaminifu.
Mwambie ndoa za Watibeli sio za kitapeli (dhulma) utakachokifanya ndicho utakachofanyiwa. Haki bin haki.
Akikuletea porojo sijui huwezi mkomoa Mwanaume zaidi ya kujikomoa mwenyewe mwambia naye hawezi kukukomoa wewe zaidi ya kujikomoa yeye mwenyewe.
Usikubali akuzalishe watoto ambao hautakuwa na uwezo wa kuwatunza hata siku asipokuwepo( iwe kwa kuachana au Kufariki) zaa watoto kulingana na uwezo wako wa kuwatunza. Kulingana na kipato chako.
Binti za Tibeli sio Wajinga. Usidai pesa za matumizi ikiwa mwanaume hataki kukupa hizo pesa huko ni kujishushia heshima na kujidhalilisha. Ikiwa ataichukulia hiyo kama faida au kuvuja kwa pakacha. Badilisha majina ya mtoto na mpe majina ya Watibeli.
Usiwe na moyo safi kwa mtu mwenye moto mchafu dhidi yako.
Usiwe na upendo kwa mtu mwenye chuki na wewe.
Usiwe na heshima kwa mtu mwenye kukudharau.
Usimpe mtu kipaombele ikiwa yeye anakuona wa ziada.
Ikiwa mumeo au mwanaume anapenda ndugu au wazazi wake kuliko wewe. Anakuweka nafasi ya pili au ya tatu. Wewe mweke nafasi hiyohiyo aliyokuweka. Hiyo ndio HAKI.
Ikiwa mwanaume amekuweka nafasi ya kwanza nawe muweke nafasi ya kwanza.
Usiwe mtumwa wa yeyote. Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
Usifikirie maisha yatakuwaje ikiwa mtu anataka kukuacha iwe kwa kusema au kwa matendo yake. Huo ni utumwa.
Binti zangu msijesema Baba yenu sikuwaambia namna ya ku-deal na wanaume. Hivyo ndivyo mtakavyoishi kwa furaha. Kamwe usiwe mtumwa wa mtu mwingine hasa asiyemtumwa wako.
Kama mume au mwanaume anajitumikisha kwaajili yako nawe jitumikishe kwaajili yake.
Mpe kile alichopanda. Nawe usione shida kulipwa kile ulichopanda. Hivyo ndivyo mambo yalivyo.
Usiogope kuwa sijui atakupiga au atakuua. Usiwe mwoga kama nilivyokufundisha. Woga utakufanya uonewe. Ni bora akuue kuliko akufanye kuwa mtumwa wake.
Akikufanyia uhalifu wapo Watu wa haki watakaodili naye ikiwemo sisi Watibeli.
Acha Baba yenu nipumzike.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Jidanhanye,tu hapo bdio umeharibu kabisaa na mara nyingi ni mwanzo wa kutengeneza familia za panyaroad🤣
Aisee, sasa si bora uwashauri wadai talaka, huko kukomoana hakuna mwisho au vipi?Watibeli hawaishi na wasaliti. Hilo linafahamika.
Leo ndo umeandika mada bora kuliko zote.