Mume wangu kaniacha kisa nimemtukania mama yake, nataka kujiua Nipeni ushauri

Unasubir nn..???
IMG_20191003_222959_132.jpeg
 
Ushauli ni kwamba, mama wa mumeo ni mama yako! Kama huwezi mheshimu mama wa mumeo hata mama yako huwezi kumuheshimu!

Rest In Peace!
Kuna wakwe wengine wanakuaga ni wakuda kinoma dawa yao ni kuwatembezea mitama tu, akinyanyuka unamlamba mwingine mpk akili imkae sawa, mkwe anashindana na mkwe wake kama vile wote ni wake wenza banaaaa.
Sakayo ukimpata mkwe mswahili kama bi Sandras lzm akili ikae sawa maana atataka kukupangia mpk ratiba ya kulala na mwanae.
 
Back
Top Bottom