nimwindael
Member
- Nov 5, 2013
- 6
- 2
Yani kwenye papuchi ndio hana muda kabisa anasema hana hisiaHata papuchi hakuombi mpendwa?
Sijawahi mpa sababu ya kuhisi kama mtoto si wake na nikimuuliza kama nimemkosea anasema hapanaUkishajifungua akiona kachanha atabadilika labda hana uhakika kana mimba hiyo chanzo ni yeye na wewe
Siku hizi mambo madogo yanayo jadilika na wahusika tu watu wanayaleta jamiiforums. Hapa ni kama gazetini au ktk television ni sehemu ya jumuuia adharani hata kama hatuonani. Mengine yamalizeni kifamilia wahusika tu na mkishindwa kawahusishe ndugu, mshenga, rafiki au wazazi. Vijana msidhani kaka zenu na dada zenu familia zetu hazina misukosuko bali tunayamaliza wenyewe sio hapa.
Vumilia ni kipindi kitapita ni complications za mimba zimegeukia kwake usishangae siku ukamkuta analamba ndimu na kupenda vitu vya ugwaduHeshima kwenu wakuu
Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
kwa jinsi mm ninavyo wafahamu watu wenye mimba lazima kunakauli mbovu umewahi kumjibu na hiyo ndiyo iliyo mkatisha tamaa.Yani kwenye papuchi ndio hana muda kabisa anasema hana hisia
Mnaishi hapa dsm au Iringa?? Siku tatu bila kuoga!!!....Heshima kwenu wakuu
Nina ujauzito wiki 23 na niujauzito wa kwanza,toka nimeshika ujauzito mume wangu amebadilika sana amekua na hasira na kisirani kupita kiasi,hapendi kuoga anaweza kaa siku tatu mpaka nimseme sana ndio anaoga,hatushirikiani tena kama mwanzo nikijaribu kuongea nae anakasirika sana sikuhiyo hawezi hata kulala na mimi anahamia chumba kingine.kiukwel hii hali inaniumiza sana na nashindwa nimsaidiaje.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Mumeo atakuwa anaisoma namba, akiangalia wawili maisha yanapiga sasa sijui huyo mpya akija atafanya nini. Bora angeitwa kitasa kuliko Makufuli.
Ndukiiiii