Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Wanaume wengi wanao oa wasichana na kutenda hayo ya kulala na ndugu za mwanamke bila kujali huwa wameoa kwa ajili ya kitu.

Sijui juu yake ila kama kwenu mna uwezo zaidi ya alipotoka basi ndicho alichofata na ameamua kufanya hayo anayofanya.

Unaweza kuta walianza kulala pamoja tangu umemtambulisha kwa mama yako,na yeye kukuacha isingewezekana ili awe na mama yako ambaye lazima amemuhakikishia maisha mazuri na labda anamuhonga juu.

Hivyo kukuoa wewe sababu alikuona kwanza ndio imekuwa rahisi juu yao kuwa pamoja hadi leo. Na umegundua sababu za mwizi ni arobaini.

Una babu yako na ndugu wengine kaongee nao, huyo mwanaume hakufai. Ukikaa chini ukitulia sasa hivi jipe siku chache utakumbuka matukio yaliyotokea na sababu hukujua ndio utagundua kweli ulikuwa gizani huku yao yanaendelea.

Kama mfano wao pia kutaka kujua upo wapi ili wajipange n.k. kiukweli sitaki hata kuingiza kichwani mimi na mama yangu aliyenizaa kulala na mtu mmoja. Pole sana ila mwanaume hakupendi na mama yako amamfurahisha zaidi na I guess mali na kumtunza vinachangia kiaina. Sipati picha ukiwasamehe utaishije nao, kamwe hautawaamini tena tena na wataendelea upende usipende.
Labda uache sasa kumnyenyekea na kumuonyesha una maisha na muombe Mungu akuongoze. Usijishushe kuwapa raha.

Umaweza kuwa umejiweka kama vile yeye ndie mwisho wa reli, pia sababu kubwa ulikosa kukua na baba yako(RIP). Jipe muda utaona matukio yanakujia ndipo utaona kweli hakufai. Kama una ndugu wa karibu unaweza kwenda kumuona leo nenda hata ukalale huko.

Mama yako amefanya kitendo kibaya sana na cha aibu usikimbilie kumbembeleza muache ajute akijua, ukimwonyesha upo weak ataendelea hata kwa bwana mwingine utakayepata.

Usimtukane bali mshushie vipande haswa vimuingie amekutenda vibaya sanaaaaa, umesoma umeishi nje unajua naongelea nini. Hana penzi au anajuta kuzaa mapema labda kumemkosesha maisha fulani, sorry ila hiii utokea labda atakuambia ukweli. Wengine upelekea wamama kuwa na wivu na hivyo kutaka kuingilia kila kitu ili nawe usile raha kihivyo sababu alikosa raha. Sasa kaa fikiria utaona kuna mavitu maishani mwako kuonyesha mama yako yukoje kwako.

Kila la kheri katika maisha yako na uamuzi...ila mumeo sio mume una umri mdogo fikiria.
 
Km vp na wewe toka na mdingi wake ili muende sambamba Dawa ya moto ni moto asikuzingue
 
Pole Dada, kama bado unampenda mmeo Waite wote Mama na mmeo wambie ushenzi wao toa na ushaidi wako halafu ww kaa kimya
 

Asante sana kwa hii msg . ninakushuru kuna kitu umenisaidia.
 
Kizuri kula na mama yako acha uchoyo
 
Dada mbona huna huruma kiasi hicho mama yako toka mwaka 1998 hadi leo hii 2016 alikuwa hajapata dyudyu....sasa kamata wew unaanza wivu kwani shida nini hapo mmeo anakupa haki yako basi na mama nae muonee huruma atolewe ugwaduuu kidogoo binti
Ikitokea shemeji yako anayelalana na dada ako alalane na mama ako mzazi pia utaongea haya maneno.
 
Angalia na soma tena comment yako.... unatuma kwa nani?..... na kwa wakati gani...?huyu mtu anahitaji faraja then unaongea upuuzi...uwezi jua kwa kusoma comment yako akapata ham ya kutenda hilo unalomwambia kweli...hebu uwe makini bana
 
Acha jamaa afaidi mama anatumia nae ya mkwewe wewe baya lipi?
 
Angalia soma comment yako unatuma kwa nani na kwa wakati gani...huyu mtu anahitaji faraja then unaongea upuuzi...uwezi jua kwa kusoma comment yako akapata ham ya kutenda hilo inalomwambia kweli...hebu uwe makini bana

Asante
 
Hakuna ndoa hapo,achana naye fasta wala usipoteze muda...tafuta furaha yako ilipo.Ila hakikisha umefanya UTAFITI WA KINA siyo meseji tu.
 
Liwepo jukwaa maalum kwa hz habar maana mara mama mara mdogo eeh tena liwe above 25 sijui jf inatengeneza kizaz cha aina gan maana harassment below 18 wanasoma hizi threads.
 
Daaah pole sana....kutana na mamako na mume uwaeleze wazi mambo wanayofanya ......ungejitumia hizo msg ungekuwa na ushahidi mzuri
 
Angalia na soma tena comment yako.... unatuma kwa nani?..... na kwa wakati gani...?huyu mtu anahitaji faraja then unaongea upuuzi...uwezi jua kwa kusoma comment yako akapata ham ya kutenda hilo unalomwambia kweli...hebu uwe makini bana
Mbona umepanic hivyo humu ni jf lolote laweza tokea kazi yako chambua linalokufaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…