Nimeolewa miaka saba iliyopita, ila mpaka leo sina hakika kama mume wangu ananipenda kweli au la. Amebadilika mno. Kwa miaka 5 hivi hajawahi kuniambia 'i love you' au kunitajia kitu chochote romantic. Mapenzi yetu yamebadilika sana unaona kama vile anakuwa na wewe kutimiza wajibu tu haonyeshi feelings zozote. Tofauti na jinsi tulivyokuwa tukifanya mapenzi kabla hatujaoana.
Kwa vile nafanya kazi yenye kipato, basi kila kitu najifanyia mwenyewe hata nikiwa mjamzito matibabu yote najigharamia. Hivi ndio inavyokuwa hivi kwa wanawake wote au mimi tu? Nikimwomba anifanyie kitu kama kunisindikiza hospitali mpaka nimbembeleze au anasema hana hela inabidi aendee ATM. Hata nikiumwa hakuna cha pole wala nini. Ananisikiliza tu navyolalamika na kuniacha hapo.
Nimejitahidi sana kumweleza ninavyojisikia akifanya hivyo lakini inaonekana haimsumbui.
Sasa nimeamua kukaa kimya tu na kupeleka mapenzi yangu kwa watoto. Ninampenda sana Mume wangu lakini naona sasa kama nimeanza kuwa mgumu rohoni.:A S embarassed:

inasikitisha sana...... Wanaume halafu mtaani huko mkeo akisifiwa na wakamjali utalia kuwa wanawake ni wasaliti?
Nikirudi kwenye topic, umezungumza na mumeo? Anajua unavyojisikia?
Pole mpenzi, sina hata cha kukushauri zaidi ya kukuombea. Maana mimi nisipoambiwa hivyo kwa siku nzima naumia saana!
Mshauri aingie JF anaweza jifunza kitu! Ila haya mapride ya wanaume yanakera mpaka basi.
Ohh kumbe mlikuwa manafanya mapenzi kabla ya ndoa, nadhani hayo ndo yameleta dosari katika ndoa yenu :biggrin:Nimeolewa miaka saba iliyopita, ila mpaka leo sina hakika kama mume wangu ananipenda kweli au la. Amebadilika mno. Kwa miaka 5 hivi hajawahi kuniambia 'i love you' au kunitajia kitu chochote romantic. Mapenzi yetu yamebadilika sana unaona kama vile anakuwa na wewe kutimiza wajibu tu haonyeshi feelings zozote. Tofauti na jinsi tulivyokuwa tukifanya mapenzi kabla hatujaoana.