Mume wangu anachepuka


Mpaka huyo mume akue yeye anavumiliaga tu???
 
kwahiyo akirudi alfajiri ndio mnazini?
 

huyo atakua ajanga, muepuke mapema
 

Pole ka uvumilivu uliotendeka . Omba mungu akupe uhai na uzima ufunge ndoa ya haraka.Mungu atakusaidia na Ndoa yenyu itabarikiwa na neemaa
 
Sasa mpaka hapo kweli mdogo wangu unasubiri kushauriwa? au huyo ndio alokufundisha maji usiite mmma?
24yrs huna chakupoteza kwa huyo jamaa chapa mwendo anakupa nini zaidi ya kukuchokoa ROHO yako?
au nikulize labda ni kitu gani ambacho unakipata kwake ambacho unahisi au unaona mwanamme mwengine hawezi kukupa? anakusaidia nini labda? sorry kama ntakua nimeongea sana...
 
nimecheka ka mazuri, ni quote pale unakomuuliza katika pitapita zako hujawahi mpachika binti mimba nae anajibu yupo wa miez kadhaa halafu anacheka. sasa wewe unachukia nini wakati unataka majibu.

pole sana sister Fanya uamuzi mgumu kama Lowassa usepe.
 
Mmmmmh,pole Mamy ila jaribu kumuekea kikao na wazaz was pande zote Kama hasikii hakufai Mamy mwanaume ukiona anakudharau ndani hakupendi tena uyo
 
Heee una 24 yrs cha kujizeesha na stress huku hujaolewa.?? Sepaaaaa
 
Pole mpenzi. We vumilia ukitaka kuachana utaachana na wangapi? Kila mtu ana mapungufu yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…