Mume wangu anachepuka

Tunumie number nikupe ushauri😂😂😂😂😂😂😳 utani tu! Pole dada mvumilivu maana unamoyo wa Chuma.
 
Kimbia hapo..afu utamwitaje mume wakati hamjafunga ndoa?
 

Asante sana maombi ndo silaha kwangu naamin sana ktk maombi tatzo anatumia kwenda kwangu kanisan labda siwez kumfanya lolote so ntavumilia tu ndo anakuw hivo
 
Hapana aisee... Mwanaume anakujia saa 10-12 alfajiri hata ndoa hamjafunga. Mkifunga atagraduate kabisaaaaa kuja kesho yake ama kesho kutwa.

Hivi hujui nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe???

Ukiona manyoyaaaa.....

Kalaghabahoooo!!!!!!!

Yan ilo LA kurudi alfajir ndo pigo langu na maumiv sana kwangu km kuchepuka kila mwanaume anafanya ivo ( sio wote) ila heshim tu iwepo sio kuonyesheana ivo
 

sijakuelewa vizuri. mara we uko safi mwenzio hajapima, mara mimba haiingii Mungu anaepusha.... nahisi unampenda sana, vinginevyo ungekuwa ushasepa siku nyingi. basi nashauri umvumilie
 
hakufai huyo atakuua bure huyo sio mtu mzuri kwako hajakusikiliza wewe hakujali wazazi hawasikilizi wanaume hawajaisha wapo wengi tu heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Hujafunga ndoa
Mwanaume mala.ya
Wewe binti bado


Hivi binadamu wengine mpaka muombewe???????? Unachong'ang'ania hapo ni nini???

huwezi kujua kilicho nyuma ya pazia, inawezekana wanapokuwa old trafford hilo jamaa ni zaidi ya ronaldihno gaucho! chezea zidane wewe!
 
mrsfulani njoo pm kwa babu nikuwekee hiyo mimba then uende umwambie ni yake!
 
Last edited by a moderator:
hakupend ndo maana anaona bora ashinde baa na kwa nyumba ndogo.
hana fertile mbegu...
achilia uliposhikilia maana wavulana tunakupita tujiona upo occupied kumbe unaumizwa tu huko ndani
 
Wewe ndiye mwanamke halisi wa Kiafrika,

hahaha natania bana, watch out hapo utajakulia machozi ya damu
 
Kama haeleweki,chukua hatua mapema bibie. Ukishaingia kwenye ndoa hakuna kutoka.
 
Hujafunga ndoa
Mwanaume mala.ya
Wewe binti bado


Hivi binadamu wengine mpaka muombewe???????? Unachong'ang'ania hapo ni nini???


Kwani kile kimeo chako cha kipindi kile ilikuwa ndoa au bf na gf?
nimekumbuka tu baada ya post hii
 
kumbe hujaolewa naye basiuna muda wa kutathmini na siokukurupuka..akili kumkichwa ...pole sana
 
Ushahidi kuwa mumeo anachepuka bado hauna mashiko.....kwa mujibu wa hoja zako

1- huyo sio mumeo sababu hamjafunga ndoa
2- kuongea na mwanamke kwenye gari haitoshi kuwa ushahidi wa "mumeo" kuchepuka
3-mumba haiingi?...hoja hii uliyoleta hapa sio mahala pake...fungua shauri jipya mahakama ya "jf doctor"
4- ulipima na uko vizuri ila yeye hajapima...hoja hii pia peleka kwa hakimu "jf doctor"
5- kwa vigezo nilivyoweka hapo juu naomba nisitoe ushauri wowote zaidi ya huu na ningependa uje na hoja nyingine ili tukupe ushauri sahihi

pole sana...case dismissed....
 
hahaaaa unampenda mtu zaidi ya kujipenda mwenyewe!
 
inaonekana jamaa ana gegedo la gold lada kwa maana kwa haya yote huna ndoa huna mtoto upo tuu kwake kuona uupuuzi wake

au kwenu umefukzwa???uwezi kuishi bila yy???

jitambue fanya maamuzi haraka ya kuondoka na kurud kwa muumba wako akupe wa ubavu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…