Mume wako, mke wako au mpenzi wako akitoka kimapenzi na mtu mwingine; utamfanyaje?

Kama ni boifrendito tu[a kule tena mbali sana hukooo mtaroni...lakin kama ni mume hapo pagumu kwakweli maana kumuacha unakua haujasolve tatizo na ukicheki una watoto wanaowahitaji wazaz wote wawili...yan sijui ntamfanya nn ila humo ndani atakuona pachungu kama klolokwini,maana hana sababu ya kucheat na kama nimekosea kitu angenambia kwanza ili nijue wapi nakosea
 
Back
Top Bottom