Mwambie simbilisi yeye.kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
Kyoma maelezo yako ni sahihi kabisa!
hili suala ni baya lakini cha ajabu watu wengine wanaonekana kuliunga mkono. Labda nao wana vyeti vya aina hiyo!
Ninakubalina na wewe kuwa hao wangeliweza tu kuchaguliwa hata bila kununa hizo elimu feki. Kama mtu anasema ana phD na wakati ni amepata cheti na elimu ya juu mtu wa aina hiyo anachaguliwa kuwa waziri na inapotokea anakwenda kwenye argument na maziri wenzanke wkenye intenationa argument, he/she will always flop.
Prof Msolla aleisema lakini kuanzia hapo yuko kimya!
kundelea kubishana na anayetetea hili suala la vyeti ni kupoteza muda kama naye ana cheti cha aina hiyo!!
kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu
Kwani alienda kuolewa au kushika funguo za gari na kupokea kodi za nyumba!!??Wakuu nahitaji ushauri ninarafiki yangu ameolewa lakini amekuwa amwelewi mume wake, yaani Mme wake anaamini ndugu zake kuliko mke wake, waga akisafiri funguo za gari anamwachia ndugu yake ambaye ni mdogo wake kodi za wapangaji mdogo wake ndo anapokea, akimwambia kwanini anafanya Ivyo anamwambia kwani alishawai kumlaza njaa!! Kiukweli uyu best yangu ameniomba ushauri nimeshindwa cha kumshauri ndo mana nimeleta kwenu wakuu tushee mawazo kwa pamoja!!
Hilo neno. Naamini kwa mwanaume anayefanya vile jua mke wake anafuja mali au ana mtindo wa kupeleka fedha au mali nyingine kwa ndugu zake kwa kificho. Ili kuepusha mtikisiko katika familia, ni bora ukamwachia mapato mtu baki.Labda anamuona mpenda mali mno. ..gold digger
Kuna shida kwenye hiyo ndoa. Always it is not advisable kutoa conclusive judgement kwa kusikiliza upande mmoja tu. Ndoa ni voluntary union kati ya watu wawili. Putting into account kwamba HUMAN BEINGS (male/female) are complex animals by nature, then kuna haja ya kusikiliza na upande wa pili pia. So dada rubii's insights (above) are well hinted.
Don't rush into one-sided judgemental opinion kwa vile tu anaefanyiwa hivyo ni mwanamke mwenzako. Huwezi kujua ni nini/nani chanzo cha hiyo behavioural action which appears likely to be a 'mistreatment' kwa mkewe. Better you could hear the other side of the story so as to know the real shits popping-up in such marriage.
Mwambie aje atueleze Ndoa yao ina mda gani, je hapo kabla ya ndoa hali ilikuaje?
Je mahusiano yake namumewe yako katika hali gani?
Ndoa yao inamiaka nane na wana watoto watatu
kuna jamaa nae akisafiri anapaki gari kwa dada ake wakati mke yupo na anajua ku drive
watu wengine ni bure kabisa hayafai kwa matumizi ya binadamu[/QUOTE
Duuh hiyo kali hapo unatafuta hela hata za kuhongwa unanunua la kwako..