Mume wake anapenda kuangalia picha za ngono

Kuna movie moja inaitwa Love Sex and eating the bones, inashabiana na maelezo uloyatoa hapo, namshauri Yeniba ajaribu kuitafuta na kuiangalia, Labda jamaa yake anaweza kuwa na tatizo la aina hiyo.
 
kweli ndoa ni mtihani mgumu.....ni vizuri wao wazungumze kwanza,hatuwezi kukushauri bila kwanza kujua kwanini mume anaangalia porno kiasi hicho.....manake kuangalia porno si kilema ila anapokuwa addicted,kuna maswali kama mke yapaswa uwe na majibu yake ili kama unaweza kumsaidia then umsaidie....nashauri azungumze tu kwa upole na mumewe then from there twaweza shauri.....!!
 
Wonderfull!!
 
Kuna movie moja inaitwa Love Sex and eating the bones, inashabiana na maelezo uloyatoa hapo, namshauri Yeniba ajaribu kuitafuta na kuiangalia, Labda jamaa yake anaweza kuwa na tatizo la aina hiyo.
Nishaiona mwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…