Mume wake ameanza kubadilika baada ya kujenga

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Hellow wanaJF,

Leo kuna huyu dada rafiki yangu sana yaani ni kama mwandani wangu tumeshibana sana tuu. Issue iko hivi huyu bibi ana bwana wake wote ni wafanyakazi wa umma ni mwanamke mwenye upeo wa kuona mbali anayejiheshimu na kujielewa sana.

Walichukua mkopo na mumewe ili wajenge nyumba kipindi hicho wakiwa nyumba za kupanga wamehamia last year mwezi December ikiwa haijakamilika vizuri ili kuepuka tu usumbufu wa kodi za upangajini kumbuka hapo bidada na mumewe walichukua mkopo wote.

Dada wa watu anakatwa anabaki na mshahara wa laki mbili tu kwa mwezi
sasa hivi nyumba washaweka na geti na at least sasa ina mvuto wa kuwa nyumba nzuri lakini toka wamehamia mume amekua mkali sana anaongea na kujibu kwa hasira sana jambo dogo tu hata mtoto akilia tu huyu bwana anafoka isivyo kawaida na wakati before wakiwa upangajini huyu mume hakua hivyo.

Mke anaumia sana mumewe anapobadilika kias hicho amevumilia sasa too much akaniomba ushauri nikamwambia ajitahidi kumzoea ila nashindwa kuelewa kwanini mume wake kabadilika hivyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi hajamuuliza kwanini amebadilika?
 
Mkuu, huyo anatafuta sababu ya kumkimbiza mke wake ili avute kimada mwingine.
Wanaume tunaelekea wapi???
 
Naona siku hizi umetulia zile tabia zako zile za kutafuta mabwana washika ukuta huku umeacha
 
Apewe alichochangia kama ni mkopo wote jamaa abaki na nyumba maana ndiyo inayomuhangaisha nafsi hakutarajia atajenga
 
ndo shida za maskini wasiojielewa shenzy type
isikute kapata mchepuko anataka kumleta hapo ndo anatafuta sababu
 
Kwanini anahitimisha kwamba sababu ni nyumba?
 
mwanaume kuleta story zinazohusu wanandoa haijakaa poa kwa kweli

Hizi story huwa ni za akina Sky Eclat sasa naona unataka kuwanyang'anya nafasi.
He kumbe bwabwa... Acha kidume kiwe kikali bhana. Utaishije na mwanamke mwenye ushosti na mabwabwa?
 
Mpe pole

Tena kama kiwanja kina jina la huyo mnunaji ajiandae na drama za kila aina
 
Na huyo mume wa shost akijua wakikaa na shost yake wanamsema atawakanda makalio.
Au inawezekana huyu bwabwa alimwambia shosti yake akampe mmewe kijambio... kwanini mume asiwe mkali kama haendekezi kucheza na kinyesi?
 
Duh wangezumza iweje awe mkali bila sababu,... Kuna jambo apo,!
 
Afu madem wengi aswa wa saloon wanapenda wagawa kijambio sasa mme akijua tyu kwngu nsikuone unaleta laana

sent from my iPhone 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…