mtoto mpole
JF-Expert Member
- Mar 22, 2010
- 678
- 148
Inawezekana kua anamapenzi ila akapimwe akili
Hivi ni sahihi kwa mume wa ndoa kumsupport mke wa ndoa kutoa mimba...kwa sababu tu hayupo tayari kupokea mtoto wa pili na wa kwanza ni mdogo wa 1 year.....je mune huyu ana mapenzi ya dhati kwa mkewe?
Yani ni la kuuliza tena hilo? Hamna kitu hapo, yani hata sijui mnaanzaje kuliongelea hilo. Mume! Tena wa ndoa
mi hii kitu ilinikuta,first born alipotimiza miezi 6 tu mara wyf akanasa tena.ilitutia wasiwasi kidogo,tukaenda kumuona dr akatushauri but wyf akawa ameresort kwenye kuchomoa,nilimshauri madhara ya kuchomoa kuanzia kiimani hadi kiafya,akajifanya haelewi.ilibidi nifanye maamuzi,nilimwambia apaki kila kilicho chake na kile anachoona kitamsaidia maishani halafu aende kwao.hiyo shughuli akaifanyie kwao na wazazi wake halafu akimaliza wamtafutie mume.alipoona yamekuwa makubwa akawa mpole.2nd born akaja tukalea
Kama hamjajiandaa si bora mtumie kinga, sindano za uzazi nk
Kama unataka kitu na box basi mama akachome sindano za uzazi wa mpangokINGA KWA MKE WANGU? SI BORA NIACHE KUGEGEDA; YAANI KINGA KWANGU MWENYEWE?????
Its all about family planning,kwa jinsi siku hizi zilivyojaa technolojia na ugumu wa maisha sijui mwanamke wa aina gani(I can call her too local) atathubutu kubeba mimba ambayo hawakukubaliana na mwanaume
Hapo kwenye hiyo ndoa kuna matatizo ya systeme...!!