nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
Usikurupuke soma kwanza , maana ukikurupuka ataacha kukulipia chuo halafu utakuwa hauna njia ya kujikwamua, soma , wakati huo unafanya maendeleo kama kujenga, then na wewe unatafuta mumeo , unamwambia umefika wakati wa kutengeneza familia yako na wewe. ila kwa sasa jifanye mjinga. Ni UJiNGA WAKE MWENYEWE KUTOA PESA AMBAZO ZILITAKIWA KUTUMIKA NA FAMILIA YAKE.nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience
Halooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO!
Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi.
Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100%
Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
achana na mume wa mtu, vinginevyo utapata laana ya kutokuolewa maisha yako yotefikiri ungefanyiwa hivo ww ungefurahini dhambi kubwa kutembea na mume/mke wa mtu, umesahau utaabika mchana kweupenifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
mwanamke wee, lol, namshauri afate hayo only becoz anamalizia shule kwanza then akishapata lyfe yake amuage tu mume wa mtu ila heshima muhimu kwa ndoa ya watu hasa mke halali amuheshimu aendelee kula mema ya nchi hadi atakapomaliza chuo,NB USIJARIBU KUZAA NA HUYO MUME ANYHOW PLSHalooooooooo! UKILA NA KIPOFU USIMSHIKE MKONO! Mapenzi ya wizi sharia yake moja tu, usiwe na wivu wa kisengery!!!!! Wewe wahudumiwa na gari ushanunuliwa (Kama hutojali nipashe ni aina gani ya ndinga?) watimiziwa yooote, pressure ya nini? Wewe tulia kama maji ya mtungi. Tena ukikutana muulize wife hajambo, watoto shule wanaendeleaje? Muulize shule kaenda kukagua maendeleo ya wanae. Siku ingine jizoe mlimani city ununue tu bag twa ben ten, vimkebe sijui vya micky mouse na vi game umpe awapelekee wanae zawadi. Jikombe bibi na ujikombe haswa haswa! Ulizia wife afya vipi, kaznia anaendelaje. Be on his side and support hio ndoa 100% Mwanaume anapenda mwanamke anaejua nafasi yake. Na wewe nafasi yako ni Forever Second (Chungu lakini dawa) sasa harakati za kutaka kuchukua Throne na kujitwalia kingdom zitakuponza kweli kweli. Accept ya position na uimiliki kwa nafasi yako, after role mwenzio mlinda nyumba wakati wewe ndo the doll at his side wa kula nae goodtimes.
ukiona mwanaume amekuficha kuwa ana mke toka mwanzo akaja kukuambia bada ya muda fulani jua kwamba
1.alichokuwa anakitaka keshakipata then
2.amekuchoka anashindwa tu kusema bye from my experience