happiness win
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 2,461
- 1,394
Najiheshmu sana ndo mana nataman kumweleza mkewe usumbufu wa mumewe,.sina ndoto za kua na mume wa mtu ktk maisha yangu
Mpaka akwambie umzalie mtoto inawezekana mmeshaonjana tayari kanogewa na anataka umzalie mtoto.Kwa ninavyojua mwanaume hawezi kukutaka siku ya kwanza na kuanza na neno la umzalie mtoto kabla hajakuonja.
si sms unazo? Mwonyeshe mkewe
Hivi inawezekana mwanamume ambaye toka mwanzo umemuonyesha msimamo wako kuwa hutaki kuwa mpenzi wako akaendelea kukufata fata kila mahali hata nyumbani na ofisini kwako? Inawezekanaje akatamani hadi kutoa talaka lakini dini ikamzuia wakati huna mahusiano naye? Hadi umebadili laini ya simu mara tatu yeye bado akung'anganie tu bila kujali msimamo wako na bila ya kuwa na hofu ya wewe kumwambia mkewe na wanawe????? Mlifikiaje maongezi yake ya ndani na mkewe kuwa mkewe hataki kuzaa ila anataka wewe umzalie? hapo kuna kauhusiano kalikojificha. ACHA!
hajawahi kunigusa kimwili..
Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
Ananitumia sms na kunambia kila kitu kuhusu matatizo yake na mkewe ndo mana sms nazo sijazifuta
hawa waume zetu hawa?????? job true true!
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana wanaishi nyumba moja lakn kila mtu na chumba chake kwa miaka 5 sasa na hawez kumpa talaka mana wao niwakristo kanisa halina talaka na mimi ni muslim na anadai yupo tayar yeye kubadili dini mana haoni raha ya ndoa yake na mkewe,na mtoto wake wa kwanza ni best yangu kupita kiasi na mkewe ni kama dada yangu namheshmu sana..huyu mwanaume ananisumbua mpaka imefka kpnd nataka nimwambie mkewe lakni sijui nianzie wapi na mtoto wake kumwambia kama baba yake ananikera naogopa kupita kias yani hata kwao kwenda siendi tena nmebadili laini ya simu mara tatu lakn kila nikibadili ananambia labda nife ndo atashndwa kunifatilia...na akinipgia anataka kuniona ofisini kwake nsipoenda siku hiyohyo lazma aje mpaka getin kwetu kuniulizia kwetu nimekwenda wapi mana nimkubwa kazni kwao anauwezo wa kutoka muda wowote....plz nsaidieni nimwanzaje mkewe kumueleza mana sms zake zote ninazo anazonitumia na mimi simpendi hata kumuona yani ananinyima amani..,,