Mume wa mtu ananitesa

Dadaangu Mungu aingilie kati ,, nimekuwa nikiumia sana juu ya wanaume kusumbua ndoa zao hata kabla cjaingia kwenye ndoa,, kumbe na wanawake ni changamoto pia,, jaman tupone wanawake.. Dada natumaini mpaka sasa umesha badili msimamo kuhusu kumsaliti mumeo,, ni mm Mrs Basa nakusihi kemea hiyo roho ya isikufuate tena.. Nakupenda sana dadaangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…