Rafiki yangu ni ni mwanamke mzuri, chapa kazi mwenye watoto wa3 aliyetoka kwenye ndoa chungu. anatafuta mume awe ana watoto au asiyeweza kuzaa na hatojali kuishi na wanaye na yeye kama kitu kimoja. Lazima awe na mafanikio kwani naye ana mafanikio pia.
Inawezekana huko alikotoka tatizo ilikuwa ni mafanikio pia!mwanaume mwenyemafanikio na mwenye watoto basi kunakuwa na mwanamke ndani!nasikuhizi dizaini kama kina Kimbley hapa hatuachii ngazi ng'oo!!!
Yeye anaposema ana mafanikio ana mafanikio gani? Maana mafanikio ya mtu yanapimwa na mtu mwenyewe kwa kuwa ndiye anaejua alikotokea. Mfano kama mtu alikuwa anauza nyanya barabarani then akapata genge hayo ni mafanikio, ama mtu alikuwa anauza maji kwenye mkokoteni then akanunua kile kihonda cha miguu mitatu akawa anauzia maji hayo kwake ni mafanikio
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.