Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Haya mkuu tumekusikia ngoja waje wataalam zaidi huku nikijipanga kuchangia.
Ah Mkuu hata mimi nashangaa tu mambo yanavyozidi kutubadilikia wanaume.
[TABLE="class: grid, width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]ZAMANI [/TD]
[TD] SASA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mwanaume kwake/ wake zake kwao[/TD]
[TD]mke&mume pamoja(no many wives)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mwanaume mwiko kwenda labor [/TD]
[TD]wanataka waje watukamate tupelekwe kwa nguvu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]clinic mke peke yake[/TD]
[TD]now lazima tuende wote[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]mwanaume anafanya family decisions pekee[/TD]
[TD]sasa hivi hand in hand mwanzo mwisho[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanamke anakaa home tu[/TD]
[TD]wote wanapigana vikumbo makazini[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]elimu ya mwanamke haikua serious[/TD]
[TD]sasa hivi u know[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
As for me n my family we maintain open minds about these changes
For we heard, the harder you resist change the more painfull it becomes for you should it be impossible to stop it all together.
If you cant fight them join them.
Habarini wapendwa natumai wazima ndo tunaanza wikiend,sasa leo nlikuwa nataka tujadili kwa pamoja faida na hasira za mume na mke kulala kitanda kimoja na chumba kimoja,kwa uchunguzi wangu mdogo zamani haikuwa hivi mume alienda kwenye boma la mke alipomhitaji je huu utamaduni umetoka wapi?na pia wakati yakitokea magonjwa ya kuambukiza je si risk kwa wote?halafu pia mwenzio anapougua ukawa hupati huduma ikalazimu alale mwenyewe si itaonekana kama kumtenga?je huu utaratibu hauwezi badilika,ni hayo 2,mi naona risk kuliko umuhmu wake,
hapana mkuu unajua kama kitu unaamini upo sawa unakisimamia hadi kieleweke la sivyo utakubali mengi,kuna mambo inabidi tutizame kwa makini,au mke amejifungua ya nini kubanana kitanda kimoja na rum moja mama alale na mwanae kwa uhuru hadi apone bila kusumbuliwa na mtoto akue kwa raha,
Unatafuta kurogwa we kijana!
hata hiyo zamani unayosema inategemea uzoefu wako ni wa sehemu gani.
Kuna sehemu zingine mme na mke walikuwa wanalala chumba kimoja.
Kwa mwanamme mwenye wake wawili alikuwa anajenga nyumba 2 kila mke na nyumba yake. Usiku anakuwa anakwenda lala kwa mke mwenye zamu siku hiyo.
kwa nini tena jamani?mi naona its not healthy kupumuliana pumuliana kujinyima usingizi mnono?
If I may Mkuu, umenielewa vibaya. Nimesema hivi kama kuna change unaianalyse kama huwezi kupingana nayo then why fight?
And in your example mama akijifungua anahamia nursery master anamuacha baba aendelee kula gud tym in the big bed
Kama umegundua hivyo basi lifanye kwenye ndoa yako alafu uone kitachotokea.
Wahenga walisema:UMOJA NI NGUVU UTENGANO JE?
hata kama una mke mmoja kwani akilala chumba chake na wewe chako kuna tatizo gani yaani nini umuhimu wa kulala pamoja zaidi ya huduma ya tendo la ndoa ambalo si kila siku!au basi vitanda viwe viwili chumbani?ni mawazo 2 mkuu,
hata kama una mke mmoja kwani akilala chumba chake na wewe chako kuna tatizo gani yaani nini umuhimu wa kulala pamoja zaidi ya huduma ya tendo la ndoa ambalo si kila siku!au basi vitanda viwe viwili chumbani?ni mawazo 2 mkuu,
Kama umegundua hivyo basi lifanye kwenye ndoa yako alafu uone kitachotokea.
Wahenga walisema:UMOJA NI NGUVU UTENGANO JE?
Sasa kama mnatengana ile dhana mwili mmoja itaaply vipi hapa?
Bado sijaona kwa nini wanandoa watengane vyumba...