last fatma
Member
- Sep 6, 2016
- 5
- 7
Poooole saaana dada angu usikate tamaa,ungekuwa hauna HIV mm ningejitokeza tujenge familia,,,,,,,,,ila usichoke kumuomba Allah,ntafutie huko chuoni kwako binti mzuri wa kiislamu asiye na HIV tuanze relation mpyaNi binti wa miaka 25, ni mfanyakazi katika chuo flani jijini Arusha na pia ninaishi na virusi vya UKIMWI. Changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni namna ya kupata mwenza ambaye tutaendana na kuishi kwa matumaini kwako naamini kuugua si kufa bali ni mwanzo wa safari mpya katika maisha mpaka pale Mungu atakapoamua kunichukua kijana wa kiislamu mwenye hofu na Mungu na mwenye kufuata masharti ya hali aliyonayo (asiwe amekata tamaa) anahitajika tuyaanze maisha mapya.
MATUSI NA DHARAU VINARUHUSIWA IN ONE CONDITION "UWE MKAMILIFU"
Sa mnampa pole ya nini?
Hongera sana kwa ujasiri ulionao.
Inabidi apewe hongera na sio pole! Ni fikra zangu tu! Ameshavuka stage ya pole!Ni uungwana pale ambapo mwenzio anakujulisha kwamba ana ugonjwa ambao unaogopwa na wengi kumpa pole. Ingekuwa ana uwezo angependa kubadili hali yake.
Inabidi apewe hongera na sio pole! Ni fikra zangu tu! Ameshavuka stage ya pole!
Najua watu wasiopenda kuambiwa pole katika hali hii!