mume mtarajiwa

Sasa ulitegemea mwanaume wa kwako mwenyewe, kweli unaumwa. Kuna marriage material kama wewe na girlfriend material, kama ulikua hujui. Wewe kakuona unafaa kua mke maana utamlelea watoto wake vizuri, uta deal na wazazi wake vizuri n.k. n.k. Halafu kuna asofaa kuoa lakini ni mzuri kua girlfriend. Sura nzuri ya mvuto, kavivu, hakana adabu, lakini kanapendwa tu kwa hiyo tabia yake, ila kanapendeza kuwe girlfriend sio mke.
Shukuru mungu unaolewa na ukome kufuatulia fuatilia wanaume siku nyingine. Kujipa ma pressure ya utotoni.
 
SI NDIO ULICHO HITAJI?
ACHENI KUFANYA MAJARIBIO YA KIJINGA.

huu utoto wa kudhani mnaishi au mna mahusiano na malaika ndio una waponza.
 
wewe ndie wa kuachika. huwezi kumjaribu rijali kama anatoa mambo. kama kweli ulifana hivo muombe radhi na ujutie kabisa kumjaribu mwenzio.
 
Duh hayo mashambulizi aliyopata mtoa mada hapa jamvini! Hatariiii
 
We dada si kashakutolea posa na kuolewa utaolewa,tulia mamaa,wanazisaka wenzako,kumtega ya nini sasa,?
 
wewe utakufa presha kabla hata ndoa haujafunga.

unawaza ufanye nini na vikao vinaendelea, ili hali mtego uliuweka mwenyewe??

myfriend .. usimwamini mtu ..trust no body.
 
hahahahahaa!!!!!! utasutwa..!!
 

he is not serious with u, just call off the wedding
 


Baba na wewe upo!!!!!
Mhhhhhh!!
 
maimatha njoo kwangu ucheze mwenyewe kama unahisi huyo jamaa anakuchezea..
 
Last edited by a moderator:
Unataka uwe peke yako we ni mama yake??mwanamke mmoja kwa mwanaume ni mama yakee
 
Labda humpi mambo mazuri...ndio maana hujiamini.
 
Ukichapwa vibao na huyo mchumba wako halali yako, umemgeuza chemistry unamfanyia experiment mmmmmh
 

wote nyie hamfai kuwa kwenye uhusiano kuanzia wewe na huyo mchumba wako wote akili hamna
wewe unayemjaribu mchumba wako kumuingiza kwenye majaribu ni ujinga mkubwa usio na hata tone la akili
na huyo wa kuchat mpaka anafikia hatua ya kutaka kuonana na akakubali naye bonge la mpumbafu
hitimisho nyie hamfai kuoana itakuwa familia ya vichaa
 
Matatizo hayatafutwi bora yaje yenyewe ni km vile kusoma meseji kwenye simu ya mumeo unajitafutia presha bure wewe umempenda olewa mengine ziada.
 
Hpo jamaa amepatia ameonyesha hana mchezo n mbuye z bure zikija yeye anagonga tu
 
ina maana yeye kafanya vizuri etii huo ni uchumba je tukizaa watoto watatu sindio atakua analala nje kabisa!! istoshe na yeye alishanijaribu kwa kununua lain mpya ya cm na kujifanya mwanaume mwingine nikategua mtego sasa makosa yangu yako wapi any way asanten kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…