Mume/mke wa mtu sumu...

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Waungwana habari zenu.
Fanya yote,cheza rafu zote,ila jiepushe sana,kaa mbali na mke au mume wa mwenzako.
Nawasilisha!
 
Waungwana habari zenu.
Fanya yote,cheza rafu zote,ila jiepushe sana,kaa mbali na mke au mume wa mwenzako.
Nawasilisha!

Vipi, zile free pendulum bobs zako zimeminywa au? Funguka mkuu Madewa upewe ushauri wa bure jinsi ya kupoza maumivu.
 
Depends na game unavolicheza
 
Prove it...... Mbona mimi naona tofauti. Hawanaga complication kama vbinti vya mtaani. Hudaiwi za matumizi wala nini.
 
Prove it...... Mbona mimi naona tofauti. Hawanaga complication kama vbinti vya mtaani. Hudaiwi za matumizi wala nini.

Siku ukiachiwa awe wako jumla ndo utajua Kama kuna matumizi au la!
 
Vipi, zile free pendulum bobs zako zimeminywa au? Funguka mkuu Madewa upewe ushauri wa bure jinsi ya kupoza maumivu.

Mkuu ni ushauri alonipa baba,akaniambia,mwanangu jiepushe sana na hilo,usitembee na mke wa mwanaume mwenzako,ni kitu kibaya sana.
Basi na mimi nimeona niwamegee hekima na busara hii,nisiwe mchoyo!
 
kama wewe huwezi mtosheleza usimlaumu wakati watakapokusaidia kwani binadamu mwenye meno 32 halazimishi na huwa haiishi km mche wa sabuni unavyoisha.
Waswahili wanakuambia haina shobo wa makombo
Pole
 
Hahahahahahahahahaaaaaa anyway I was joking ni dhambi kubwa kuchukua muke ya mutu wakati watoto wapo wengi na wanatamani kuolewa. Sasa kwa muke ya mutu unajitafutia :A S-fire1:. Unaongeza idadi ya maadui. Na siku zote unapo iba muke ya mutu huendi mbali na watu unaofahamiana nao. Sasa ona hatari yake hadi watoto wadogo watajua tu. Kula muke ya mutu ni mwiko...... Fya vene Maganga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…