Je wana JF wenzangu hii mnaonaje?
Kilichonistaajabisha ni yule mama kushangaa kusikia mume akitandika kitanda!!!!!!!
Mkuu mie hufanya takriban kila kitu pale nyumbani, ila kilichotustaajabisha ni huyo mama kumsikia mmoja wetu akitandika kitanda. Yawezekana mila zake zinamkataza. Mama yule ni wa kanda ya ziwa.Me nahisi kuna watu mnawahi/miliwahi kuoa kwa sababu zisizo za msingi.
mtu akichoka kufanya yafuatayo ndio husema anataka kuoa.
- kufua nguo
- Kuosha vyombo
- kusafisha nyumba
- kutandika kitanda n.k
Najiuliza tu,mnaoa ili wake zenu wawe working machines au?
Binafsi sipendi kufua,sipendi kuosha vyombo,lakini hizo sio
sababu za kunifanya niwahi kuoa.
Kuona kwako ni ajabu kwa jamaa kutandika kitanda nahisi mkeo
ana taabu kweli kweli,sidhani hata kama BOXER YAKO UNAIFUA.
Kawaida tu mkuu. Wewe je?
Me nahisi kuna watu mnawahi/miliwahi kuoa kwa sababu zisizo za msingi.
mtu akichoka kufanya yafuatayo ndio husema anataka kuoa.
- kufua nguo
- Kuosha vyombo
- kusafisha nyumba
- kutandika kitanda n.k
Najiuliza tu,mnaoa ili wake zenu wawe working machines au?
Binafsi sipendi kufua,sipendi kuosha vyombo,lakini hizo sio
sababu za kunifanya niwahi kuoa.
Kuona kwako ni ajabu kwa jamaa kutandika kitanda nahisi mkeo
ana taabu kweli kweli,sidhani hata kama BOXER YAKO UNAIFUA.
Mkuu, mila zetu je?