Hapo inaonekana tatizo ni mke kupewa haki yake ya ndoa,maana khs mahitaji mengine jamaa anatoa.
Hapo kuna mambo mawili nionavyo Mimi ,jamaa Hana nguvu za kutosha Kwa maana akisha lala na mchepuko wake basi Hana anachobakiwa cha kumpa mkewe, na pili huenda hisia za mapenzi kwa mkewe zimeisha tayar,maana kama mtu Hana hisia na wewe tena kwakweli hata kusex na wewe tena ni mtihani,mpaka ajilazimishe na ndio maana waona mpaka mwezi wapita au mara moja Kwa mwezi.
Lakini Hicho kitendo cha jamaa kumlinda au kumtetea Sana mchepuko mpaka kufikia kugombana na mkewe inaonyesha mapenzi makubwa yapo Kwa mchepuko,na kama amedumu nao Kwa miaka mitano basi hapo amefika.
Kwanza ashukuru walau mahitaji mengine anatimiza maana wengine wanaama mazima, sasa awe mkweli kama yeye ndo amechangia Hali hiyo mpaka mumewe kufikia huko basi abadilishe Tabia yake,maana kujua chanzo cha tatizo ndio mwanzo wa kupata tiba yake,Ila kama mume mwenyewe ndio tatizo basi afanye dua/ maombi Kwa wingi kwasababu ndoa yake ni halali na baraka mbele za Mungu hakika Mungu hatomuacha,kama ameweza vumilia miaka yote hiyo basi aendelee kufanya subira huku anafanya maombi zaidi.