Ndahani mwanamke anaweza vumilia kwa mda mrefu... For amini usiamini kuna baadhi ya wanawake wana waume na the means of them reaching the climax ni self satisfactory... anaenda na mzee kama kawa, then anatega akiwa peke yake anamalizia... Ndio maana ni rahisi kwa mwanamke kukaa mda mrefu kidogo... Ila naamini kua kwa wanaume hata kama anacheza saana na sabuni hawezi fikia hisia ya kuridhisha ukifananisha na akikutana na the thing itself.... Hivo upande wa the woman I can understand... The story is kind of missing something.... Ila hata mimi nikikaa tu One month na my man has not done anything in those lines.... Oooh I would be really worried!! Hatutafika miezi 6 bila kulalama...... labda kama sipo nae pamoja hapo hata mwaka it is OK.