Ukiwa na bahati mbaya, unaweza kufanya yote hayo, kumbe mwenzako yupo kwenye ndoa kwa maslahi tu. kuishi na make inategemea na jinsi Tabia ya mke ilivyo. Akiwa mlevi unaishi Nate kilevi, akiwa mcha Mungu unaishi naye kilokole, akiwa mchina unaishi naye kichina, akiwa mzungu unaishi naye kizungu, akiwa mswahili unaishi naye kiswahili, akiwa kimaslahi unamtumia kuingiza fedha.