Mume auawa kwa wivu wa mapenzi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,621
8,411
Habari wanaJF,

Naona mapenzi yanaangamiza familia nyingi sana a Tanzania leo mkazi wa Kijiji cha Buhama wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza, anadaiwa kumuua mumewe, Ndimila Lupogosha kutokana na wivu wa mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema jana kuwa tukio hilo lilitokea Juni 15 saa 8:20 mchana wakati mtuhumiwa na mumewe, wakinywa pombe.


Alisema chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa mapenzi baada ya mtuhumiwa kumuona mumewe akizungumza na mwanamke mwingine.
 
Back
Top Bottom