Acha mbwembwe, usidhani wanaume ni bei chee kiasi hicho, ingekuwa hivyo mnetunyasasa saana, unachotakiwa kufanya weka details zako hapa, mfano unajishughulisha na nini, kipato chako kikoje, unamiliki nini? Shamba, nyumba, gari, kama ni gari aina gani?, kama ni nyumba iko maeneo gani?
Note: lazima uwe na kitu cha ziada ili ufatwe PM labda uwe unataka kugegedwa tu