Mume ana furaha mazishini

DarkPower

Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
16
Reaction score
5
Jamaa mmoja mkewe amefariki,wakati watu wamebeba maiti wanakwenda kuzika,Mumewe alionekana mwenye furaha na kucheka,watu wakamuuliza kwanini huna huzuni ambapo aliefariki ni mkeo?,Mume akawajibu akiwa na furaha kwamba ni leo tu ndio anajuwa mkewe anakwenda wapi!!! kwasababu kila siku anatoka wala sijui anakokwenda hahahahahah
 
Maisha ya wanandoa yana vioja si haba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…