Mume amshika mkewe Ugoni

duh jamaa alikuwa na milioni hapo gesti? inawezekana alitaka ampe huyo mama wakimaliza game kwahio imeenda kwa mume..sio mbaya
 
Hapo jamaa angefanya maamuzi magumu hata kama moyo utauma ila itamsaidia kulinda heshima na utu wake na afya yake...angemuacha huyo mwanamke aish maisha aliyochagua..
 
wachepukaji wake kwa waume somo hili linawahusu nadhani mtakuwa mmejifunza kitu.
 
Ila ktk wanaume si woote waridhishao wake zao jamani....
Ukipata mume anayekutosheleza Mshukuru Muumba...

Kuna wanaume ambao hawafundishiki, hawaelekezwi...Mwanamke anataka afanyiwe hivi yeye atafanya vile...ni SHEEDER...Halafu akishusha mzigo yeye anamuacha mwanamke hata hajali tena...



Au ukimwambia fanya hivi anakuuliza umejulia wapi...wkt siku hizi unaweza jifunza kupitia story, blogs nk.



Ila ukimpata ambaye anaelekezeka raaahaaaa


kuna watu hata uwape dunia yote hawatakaa wakaridhika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…