tarehe naikumbuka kwa iyo nitapewa kingine
Hahaha watu mnachimba.Hahaha we kumbe ulijiandaa kusepa
HaaahaaaHahaha we kumbe ulijiandaa kusepa
Lazma afanyiwe uchambuzi yakinifu, hawez kusumbua raia bure!
Na alijua mkewe akili zake fupi atakimbilia kwenye cheti cha ndoa ili kujidefend na kudai wagawane vitu jamaa akakihamisha chap kwa haraka. Sasa sahivi kidhibiti hamna, litafuata jibu la huyu ni mke wangu na bado nampenda halafu mkong'oto unaendelea!
Mume nae akajiandaa.

Huyo wa kwenu alimshitaki bwana wake, ila huyu anataka kumshitaki Mume wake.Kwani haiwezekani kumshitaki hivyohivyo? Mbona huku kwetu kuna mtu kamshtaki bwana wake....
Arudi akung'utwe kidogo mpaka akili ikae sawa. Hapa bado kidogo.Kule sikumwona aisee, sijui bado anajiuliza kama aende au asiende!!